Rais
wa Zanzibar Dk Ali Mohammed Shein akikunjuwa kitambaa kuashiria
Ufunguzi wa Barabara ya Mfenesini Bumbwini iliojengwa na Kampuni ya
Mecco,ikiwa ni katika shamra shamra za kuadhimisha miaka 49 ya
Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar Dk Ali Mohammed Shein wamwanzo kulia akikata utepe pamoja
na Mwakilishi Mkaazi wa Benki ya Maendeleo ya Africa (AFDP)Tonia
Kandiero katika ufunguzi wa Barabara ya Mfenesini Bumbwini iliojengwa
na Kampuni ya Mecco,ikiwa ni katika shamra shamra za kuadhimisha miaka
49 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar Dk Ali Mohammed Shein katikati akitembea kwa Miguu katika
Barabara ya Mfenesini Bumbwini baada ya kuifungua rasmi,ikiwa ni katika
shamra shamra za kuadhimisha miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Wananchi
mbalimbali waliohudhuria katika sherehe za Ufunguzi wa Barabara ya
Mfenesini Bumbwini iliojengwa na Kampuni ya Mecco,ikiwa ni katika shamra
shamra za kuadhimisha miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar Dk Ali Mohammed Shein akifafanua jambo wakati akitoa hotuba
ya ufunguzi wa Barabara ya Mfenesini Bumbwini iliojengwa na Kampuni ya
Mecco,ikiwa ni katika shamra shamra za kuadhimisha miaka 49 ya
Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar Dk Ali Mohammed Shein akiwa katika Picha ya Pamoja na
Viongozi pamoja na Watendaji wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano
katika Ufunguzi waBarabara ya Mfenesini Bumbwini iliojengwa na Kampuni
ya Mecco,ikiwa ni katika shamra shamra za kuadhimisha miaka 49 ya
Mapinduzi ya Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI -MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)