Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi,Mwanasheria Mkuu wa Zamani waSerikali Andrew Chenge,Mwanasheria Mkuu wa SerikaliyaMapinduzi ya Zanzibar,Othman Masoud Othman Watoa Maoni Yao Juu ya Katiba Mpya - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi,Mwanasheria Mkuu wa Zamani waSerikali Andrew Chenge,Mwanasheria Mkuu wa SerikaliyaMapinduzi ya Zanzibar,Othman Masoud Othman Watoa Maoni Yao Juu ya Katiba Mpya

Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi (kushoto) akibadilisha mawazo na Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, kulia Dkt. Salim Ahmed (kulia) Salim na Makamu Mwenyekiti Jaji Mkuu mstaafu, Augustino Ramadhani (katikati). Wajumbe wa Tume walikuta na Rais huyo mstaafu (kulia)jana(jumamosijanuari 26, 2013) ili kupata maoni na uzoefu wake katika uandishi wa Katiba Mpya.
 Raisi mstaafu Ali Hassan Mwinyi (kushoto) akibadilisha na mawazo na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Mkuu mstaafu, AugustinoRamadhani (kulia). Wajumbe wa Tume walikuta na Rais huyo mstaafu (kulia)jana (jumamosi januari 26, 2013) ili kupata maoni na uzoefu wake katika uandishi wa Katiba Mpya.
Mwanasheria Mkuu wa SerikaliyaMapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman (kushoto) akibadilisha na mawazo na Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba nje ya ukumbi mikutano wa Tume hiyo, Awadhi Said (kulia) na Prof. Paramagamba Kabudi (katikati) mara baada ya kutoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya katika ofisi za Tume hiyo jijini Dar es Salaam jana(jumamosi januari 26, 2013)
Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi (kushoto) akizungumza na Wajumbe waTumeya Mabadiliko ya Katiba walioongozwa na Mwenyekitiwa Tume hiyo Jaji, Joseph Warioba (kulia). Wajumbe wa Tume walikuta na Rais huyo mstaafu (kulia)jana (jumamosijanuari 26, 2013) ili kupata maoni na uzoefu wake katika uandishi wa Katiba Mpya.
 Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Serikali, Mhe. Andrew Chenge akizungumza na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano baina yao uliofanyika jana jumamosi januari 26, 2013) katika ofisi za Tume hiyo jijini Dar es Salaam na kutoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya kwa Tume. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mkuu mstaafu AugustinoRamadhani.
MwanasheriaMkuuwaSerikaliyaMapinduziya Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman (kushoto) akizungumza na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano baina yao uliofanyika Jana  jumamosi januari 26, 2013) katika ofisi za Tume hiyo jijini Dar es Salaam na kutoa maoni yake  kuhusu KatibaMpya kwaTume. Kulia ni Mwenyekiti wa Tumehiyo, Jaji Joseph Warioba.Picha na Tume ya Mabadilijo ya Katiba

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages