OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR YAWASILISHA MAONI KATIBA MPYA LEO NA KATIBU MKUU MSTAAFU VINCENT MRISHO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR YAWASILISHA MAONI KATIBA MPYA LEO NA KATIBU MKUU MSTAAFU VINCENT MRISHO

 Katibu Mkuu Mstaafu Bw. Vincent Mrisho akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya katika mkutano kati yake na Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika ofisi za Tume leo (Jumapili, Jan 20, 2013). Kulia ni Mwenyekiti wa Tume Jaji Jospeh Warioba na kushoto ni Mjumbe wa Tume Prof. Mwesiga Baregu.
 Mkurugenzi wa Uratibu katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Bw. Ahmad Kassim Haji akiongea katika mkutano na Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo (Jumapili, Jan 20, 2013). Ofisi hiyo ya ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar iliwasilisha maoni ya watumishi wake kuhusu Katiba Mpya. kwa Tume.
Katibu Mkuu Mstaafu Bw. Vincent Mrisho akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya katika mkutano kati yake na Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika ofisi za Tume leo (Jumapili, Jan 20, 2013). Kulia ni Mwenyekiti wa Tume Jaji Jospeh Warioba.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages