Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Bw. George Masaju,Mwanasiasa mkongwe nchini, Dkt. Christant Mzindakaya na Mjumbe wa Tume ya pamoja ya Fedha ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JFC), Juma Ngasongwa Watoa Maoni yao Juu ya Katiba Mpya - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Bw. George Masaju,Mwanasiasa mkongwe nchini, Dkt. Christant Mzindakaya na Mjumbe wa Tume ya pamoja ya Fedha ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JFC), Juma Ngasongwa Watoa Maoni yao Juu ya Katiba Mpya

Januari 29, 2013: Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Bw. George Masaju (kushoto) akibadilishana mawazo na Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Joseph Butiku (kulia) na Prof. Mwesiga Baregu (katikati) mara baada ya kuwaslisha maoni yake kuhusu Katiba Mpya kwa Tume hiyo leo katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam.
Januari 29, 2013: Mwanasiasa mkongwe nchini, Dkt. Christant Mzindakaya (kushoto) akizungumza na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano baina yake na Tume hiyo uliofanyika katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam ambapo aliwasilisha maoni yake kuhusu Katiba Mpya
Januari 28, 2013: Mjumbe wa Tume ya pamoja ya Fedha ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JFC), Juma Ngasongwa akizungumza katika mkutano baina yao na Tume ya Mabadiliko ya Katiba uliofanyika jana. Ujumbe huo wa JFC uliwasilisha kwa Tume ya Katiba maoni yao kuhusu Katiba Mpya.Picha na Tume ya Mabadiliko ya Katiba

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages