Mh. Magufuli akizicharaza tumba za Msondo Ngoma kisawa sawa - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mh. Magufuli akizicharaza tumba za Msondo Ngoma kisawa sawa


Waziri wa Ujenzi,Dk. John Magufuli akipiga Ngoma aina ya Tumba sambamba na Mpiga Gita wa Bendi ya Msondo Ngoma wakati wa hafla fupi ya Uzinduzi wa Ujenzi wa Daraja la Mbutu,Wilayani Igunga Mkoani Tabora leo.Uzinduzi huo umefanya na Rais Jakaya Mrisho Kikwete (hayupo pichani).Picha na IKULU.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages