Baadhi ya maofisa kutoka Chuo Cha
Taifa cha Ulinzi (NDC) kutoka Dar es Salaam wakipata maelezo kutoka kwa
Meneja wa Uzalishaji Bia wa Kiwanda cha Bia cha TBL Arusha, Ben Mwanri
(wa pili kushoto), walipotembelea Kiwanda cha Bia cha Kampuni ya Bia
Tanzania (TBL) cha Arusha, wakati wa ziara ya siku moja kujionea
shughuli mbalimbali za kiwanda hicho mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya maofisa kutoka Chuo Cha
Taifa cha Ulinzi (NDC) kutoka Dar es Salaam, wakiangalia eneo ambapo
maji yaliyotumika kiwandani yanachujwa tayari kwa matumizi mengine,
walipotembelea Kiwanda cha Bia cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) cha
Arusha, wakati wa ziara ya siku moja kujionea shughuli mbalimbali za
kiwanda hicho mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya maofisa kutoka Chuo Cha
Taifa cha Ulinzi (NDC), Usalama, wakitembelea mwishoni mwa wiki Kiwanda
cha Bia cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), cha Arusha, walipofanya ziara
ya siku moja kujionea shughuli mbalimbali za kiwanda hicho.
Baadhi ya maofisa kutoka Chuo Cha
Taifa cha Ulinzi (NDC), Usalama, wakitembelea mwishoni mwa wiki Kiwanda
cha Bia cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), cha Arusha, walipofanya ziara
ya siku moja kujionea shughuli mbalimbali za kiwanda hicho.
Baadhi ya maofisa kutoka Chuo Cha
Taifa cha Ulinzi (NDC) kutoka Dar es Salaam wakipata maelezo kutoka kwa
Meneja wa Uzalishaji Bia wa Kiwanda cha Bia cha TBL Arusha, Ben Mwanri
(wa pili kushoto), walipotembelea Kiwanda cha Bia cha Kampuni ya Bia
Tanzania (TBL) cha Arusha, wakati wa ziara ya siku moja kujionea
shughuli mbalimbali za kiwanda hicho mwishoni mwa wiki.
Kiongozi wa ujumbe wa maofisa wa
Jeshi kutoka Chuo ChaTaifa cha Ulinzi (NDC) Mafunzo ya Kijeshi na
Usalama, S.M Minja (kushoto) akimkabidhi zawadi Meneja wa Uzalishaji
Bia wa Kiwanda cha Bia cha TBL Arusha, Ben Mwanri, walipotembelea
kiwanda hicho mwishoni mwa wiki.Picha Kwa Hisani ya Father Kidevu Blog
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)