Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na Waziri wa Elimu na
Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamhuna mara alipowasili katika Kijiji cha
Mbuyu Tende Wilaya ya Kaskazini “A”kwa ajili ya kufungua Skuli ya
Primary yenye madarasa Manne,ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya
Miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akikata Utepe kuashiria kufungua Skuli
yenye madarasa manne katika Kijiji cha Mbuyu Tende Wilaya ya Kaskazini
“A”,ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 49 ya Mapinduzi ya
Zanzibar.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akipanda Mche wa Mnazi baada ya
kuupanda katika eneo la Skuli ya Mbuyu Tende Wilaya ya Kaskazini
“A”,Baada ya Kuifungua Skuli hiyo ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho
ya Miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Wanafunzi wa Skuli ya Mbuyu
Tende Wilaya ya Kaskazini “A”,wakifurahia Baada ya kufunguliwa kwa Skuli
yao ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 49 ya Mapinduzi ya
Zanzibar.Picha na Yussuf Sima-,Maelezo -Znzibar
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)