DK. SHEIN AKUTANA NA MKURUGENZI WA KIMATAIFA WA MFUKO WA MAENDELEO YA KILIMO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

DK. SHEIN AKUTANA NA MKURUGENZI WA KIMATAIFA WA MFUKO WA MAENDELEO YA KILIMO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi wa Kimataifa wa Mfuko wa Maendeleo ya Kilimo Perin L.Saint Ange,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,akiwa na ujumbe wake.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) akizungumza na Mkurugenzi wa Kimataifa wa Mfuko wa Maendeleo ya Kilimo Perin L.Saint
Ange,(katikati) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,akiwa na ujumbe wake.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages