LORI LAKWAMA DARAJANI KATIKA KIJIJI CHA NYUMBIGWA MKOANI KIGOMA BAADA YA MVUA KUBWA KUHARIBU BARABARA NA KUPELEKEA MABASI KUSUBIRI KWA MUDA MREFU ASUBUHI HII - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

LORI LAKWAMA DARAJANI KATIKA KIJIJI CHA NYUMBIGWA MKOANI KIGOMA BAADA YA MVUA KUBWA KUHARIBU BARABARA NA KUPELEKEA MABASI KUSUBIRI KWA MUDA MREFU ASUBUHI HII

 Lori La Mafuta likiwa limekwama kwenye kwenye Daraja katika Kijiji Cha Nyumbigwa kutokana na Mvua Kubwa iliyosababisha barabara kupitika Kwa taabu sana na kupelekea Kukata Mawasiliano kati ya Kigoma na Kasulu  Asubuhi na Kupelekea foleni ndefu ya mabasi yanayotoka Kigoma kuelekea katika Mikoa ya Mwanza, Kagera na Dar Es Salaam Kuendelea Kukaa Kwenye foleni Muda mrefu ambapo mpaka sasa haijulikani ni muda gani na lini lori hilo lililozama litatoka kutoka na mvua kubwa zinavyonyesha na kupelekea barabara kupitika kwa taabu
Mabasi yatokeayo Kigoma Kuelekea Mikoa ya Mwanza, Dar Es Salaam na Dar Es Salaam yakisubiri Lori liweze kunasuliwa katika tope hilo darajani na kuweza kuendelea na Safari.
 Magari yakiwa kwenye foleni huku Askari wa Usalama Barabarani akishauriana na Baadhi ya Madereva Baada ya lori la mafuta Kukwama darajani na kupelekea Kukata Mawasiliano kati ya Kigoma na Kasulu Asubuhi Hii.Picha Na Ferouz Mwamba Wa Lukaza Blog Kigoma

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages