Waziri
Mkuu Mizengo Pinda (kulia) akizungumza na waandishi wa habari mjini
Dodoma, ambapo alieleza taarifa mbalimbali kuhusu ziara yake Mkoani
Mtwara kuhusu kusikiliza maoni ya wananchi wa Mtwara katika sakata la
gesi. Waziri Mkuu amewaomba Viongozi wa Mkoa kuwashirikisha wananchi
katika mambo mbalimbali. Pia amewaomba wana Mtwara kuwa watulivu na
amewahakikishia usalama na amani itaendeelea kupatikana mkoani hapo
(kulia) ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt. Emmanuel Nchimbi.
Baadhi
ya wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakielekea ndani ya
ukumbi wa Bunge jana mjini Dodoma,
Naibu Waziri wa Nishati na Madini George Simbachawene akijibu hoja
mballimbali za Wizara yake jana Bungeni mjini Dodoma,
Kiongozi
wa Kambi ya Upinzani Bungeni Freeman Mbowe (kulia) , Godless Lema
(katikati- Aruha mjini) pamoja na Moses Machali (NCCR- Mageuzi- kulia)
wakielekean katika ndani ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana. Mbunge
Lema amerudi tena Bungeni baada ya kushinda kesi yake, (Picha na
Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)