Jaji Mkuu, Othuman Chande akikata utepe wakati wa uzinduzi wa Kitabu cha
Sheria chenye maandiko ya kesi mbalimbali pamoja na jarida la makala,
Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha Majaji Wanawake
Tanzania (TAWJA), Jaji Engera Kileo na Msajili wa Mahakama Kuu Kitengo
cha Biashara.Picha na Prona Mumwi-Majira
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)