Mdau Sarita Swalehe Ndani ya Pozi Moja Matata.
Leo ni tarehe 21 Dec 2012 ikiwa ni siku maalumu ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Huyu Mdada Pichani ambaye anaitwa Sarita Swaleh. Hakika ni moja ya marafiki zangu wa kike ambaye tokea nilipoanza kufahamiana nae ni ndani ya muda mfupi tu akatokea kuwa my best friend.
Ikiwa Leo ndio Siku ya Kumbukumbu ya kutimiza miaka kadhaa tokea kuzaliwa kwake timu nzima ya Lukaza Blog na Mmiliki wake Josephat Lukaza napenda kukutakia Maisha Mema na Yenye Amani, Fanaka na Mafanikio bila kutokusahau Kumcha Mungu kwani Kumcha Mungu Ndio Chanzo Cha Maarifa. Mungu Akujaze nguvu,ujasili, na uwezo kwa kuendelea kuishi Miaka mingi zaidi. Hakika Tunakutakia Siku Njema ya kumbukumbu ya kuzaliwa Kwako.
Team Lukaza We Say HAPPY BIRTHDAY TO YOU SARITA SWALEH
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)