Mkurugenzi wa Uendelezaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), David
Shambwe akitangaza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam
leo, muda wa kuanza kuuza nyumba 290 za bei nafuu zinazojengwa Kibada,
Kigamboni zitakazoanza kuuzwa Januari 2, mwakani. Kulia ni Meneja Masoko
na Utafiti wa NHC, Itandula Gambalagi.
David Shambwe ( wa Pili kulia) akifafanua jambo katika mkutano huo.
Kutoka kushoto ni Muungano Saguya ambaye ni Corporate Social
Responsinbility Manager, Meneja wa Mkoa wa NHC Kanda ya Kinondoni,
Erasto Chilambo na Meneja Masoko na Utafiti wa NHC, Itandula Gambalagi.
Shambwe akiendelea kujibu maswali mbalimbali ya wanahabari.PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)