Nikiwa na Bloggers Wenzangu Kutoka Kushoto ni Othman Michuzi Wa Mtaa Kwa Mtaa Blog, Katikati ni Mwenyewe Josephat Lukaza wa Lukaza Blog na Kulia Ni John Bukuku wa Full Shangwe Blog Tulipokuwa katika moja ya Kazi zetu Mwezi Desemba Mwaka huu 2012
IKIWA IMEBAKI SIKU 1 KUMALIZA MWAKA 2012 NAPENDA KUWASHUKURU FAMILIA YANGU, BABA,MAMA,KAKA,DADA ZANGU,NK PAMOJA NA MARAFIKI ZANGU WOTE WA KIKE NA KIUME BILA KUWASAHAU MAADUI ZANGU KWA KUSHIRIKIANA NA MIMI TAKRIBANI MWAKA MZIMA NA KUNIFANYA KUFIKA HAPA NILIPOFIKA LEO KWA MAANA PEKE YANGU NISINGEWEZA.
PIA NAPENDA KUOMBA MSAHAMA KWA WALE WOTE NILIOWAKOSEA IWE KWA BAHATI MBAYA AU HATA KWA MAKUSUDI KUWEZA KUNISAMEHE ILI NIWEZE KUMALIZA MWAKA VIZURI NIKIWA NA AMANI YA ROHO. VILEVILE NAPENDA KUWASAMEHE WALE WOTE WALIONIKOSEA IWE KWA BAHATI MBAYA AU MAKUSUDI KABISA.NIMEWASAMEHE KABISA KWA ROHO MOJA.
LAKINI PIA NIWASHUKURU WATU WOTE AMBAO KUWATAJA HAPA SITAWAMALIZA KILA MMOJA KWA NAFASI YAKE KWA KUWEZA KUWA NAMI KATIKA MWAKA HUU WOTE NA KUWA MOJA YA SEHEMU YA MAFANIKIO YANGU KWA MWAKA HUU UNAOKARIBIA KUMALIZIKA KESHO, KWA UCHACHE NITAWATAJA KAKA ZANGU,BABA NA MAMA YANGU, DADA ZANGU, WAJOMBA NK VILEVILE VERSITY MATE WANGU AMBAO NIMEISHI NAO TAKRIBANI MIAKA 3 CHUONI,WAFANYAKAZI WENZANGU, BLOGGERS WENZANGU KWA KUSHIRIKIANA NA MIMI KATIKA KAZI HII NA KUHAKIKISHA NAFANYA YALE YOTE YALIYO MEMA MBELE YA JAMII NA KUNIFUNDISHA KAZI NA KUNISHAURI PALE INAPOBIDI, PIA NAPENDA KUWASHUKURU WASOMAJI WA BLOG YANGU KWA MAANA BILA WAO LEO HII SIJUI NINGEKUWA WAPI. LAKINI BILA KUWASAHAU WATU HAWA

Issa Michuzi, Muhidin Sufian, Othman Michuzi, Ahmad Issa Michuzi, John Bukuku,Haki Ngowi,Jestina George, Fredy Tony Njeje, Jane Siame, Magie Hanlon, Hussein Wa Ujanatz, Jennifer Livigha, Andrew Chale, Cathbert Kajuna, Mroki Mroki, Jane John, Dina Ismail, Joachim Mushi, Mahamudy Zubery, Maggid Mjengwa, Annan, Wanafunzi na Wafanyakazi wote wa UDOM kuanzia 2009 hadi 2012 Na Wengine wengi ambao sijawataja Hapa kwa maana ni Wengi Sana Lakini Bila Kumsahau Dada yangu, Aunt Teddy Mapunda Kwa Mchango wao haswa katika kuhakikisha Lukaza Blog inafikia hapa Leo hii.
Sina Cha Kuwalipa lakini Mungu Atawalipa Zaidi na Zaidi Nasema Mungu Awabariki sana na kuendelea Kushirikiana na Mimi Hususani Katika Mwaka Mpya Ujao 2013 Mungu atubariki na Kutupigania na kutupa Majaaliwa yake tuweze Kuuona Mwaka 2013 na tuendelee kufanya Kazi Pamoja.
Vilevile Napenda kuwashukuru Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL Tanzania), Kampuni ya R&R, Benki ya NMB, Kwa kukubali Kufanya Kazi na Mimi kwa Mwaka mzima hadi 2013, Na Wadau wengine wote ambao nimeweza kushirikiana nao kwa njia moja au nyingine na Pia Napenda Kuchukua Fursa Hii kuwakaribisha Makampuni Mengine na watu wengine pia Kuweza kufanya Kazi na Mimi Pia.
Nachukua Nafasi Hii Pia Kuwatakia Wasomaji, Ndugu zangu, Marafiki Zangu, Maadui zangu Heri ya Mwaka Mpya 2013
Tafakari ya Leo: Mwaka 2013 tuwe makini katika Kuchagua aina ya Marafiki ambao Watakuwa na Sisi Katika Kila Hali Iwe Shida na Raha na Ambao wanatufundisha Maisha na kutushika mkono pale tunapotaka kutumbukia kwenye Shimo Na Sio kuturudisha Nyuma
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)