Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Shein Akitabasamu na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Shein Akitabasamu na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohd Shein ambaye pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Taifa Zanzibar, pamoja na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad wakifurahia jambo katika hafla ya mahafali ya nane ya Chuo hicho yaliyofanyika Kampasi mpya ya Chuo hicho iliyoko Tunguu.Picha na Salmin Said-Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais 
Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages