Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Mzee, Ali Mohamed Juma (85) Mkazi wa Mkokotoni Shangani
Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati alipokuwa katika ziara yae
ya kuwatembelea wazee kwa ajili ya kuwajulia hali, leo. Mzee huyo
anasumbuliwa na ugonjwa wa kuvimba miguu kutokana na umri.

Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati alipokuwa katika ziara yae ya
kuwatembelea wazee kwa ajili ya kuwajulia hali, leo. Kushoto ni Mke wa
Makamu wa Rais, Mama Asha Bilal. Mzee huyo anasumbuliwa na ugonjwa wa
kuvimba miguu kutokana na umri.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akifurahia kumbeba mtoto, Rajab Abdulhamid Rajab (meizi 8), wakati
alipokuwa katika ziara yae ya kuwatembelea wazee kwa ajili ya kuwajulia
hali, leo katika Kijiji cha Mkokotoni Shangani Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Mzee Haji Machanu Ngwali, Mkazi wa Mbalungini, Mkoa wa
Kaskazini Unguja, wakati walipokuwa katika ziara ya kuwatembelea wazee
kwa ajili ya kuwajulia hali, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
na mkewe Mama Asha Bilal, wakitoka ndani kwa Haji Machanu, Mbalungini
Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati walipokuwa katika ziara ya kuwatembelea
wazee kwa ajili ya kuwajulia hali, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akishiriki kuomba dua na Mzee Juma Muhidin Mohamed, Mkazi wa Mkokotoni
Shangani Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati alipomtembelea kumjulia hali
wakati akiwa katika ziara yake ya kuwatembelea wazee kwa ajili ya
kuwajulia hali, leo. Mzee huyo anasumbuliwa na ugonjwa wa miguu.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
na mkewe Mama Asha Bilal, wakizungumza na Mzee Maalim, Sheha Haji
Machame, Mkazi wa Mkokotoni Shangani Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati
walipokuwa katika ziara ya kuwatembelea wazee kwa ajili ya kuwajulia
hali, leo.Mzee huyo anasumbuliwa na ugonjwa wa kuuma kwa miguu.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)