MANDHARI YA MIZUNGOKO YA KUSHOTO (KEEP LEFT) KATIKA BAADHI YA MITAA YA JIJI LA DAR ES SALAAM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MANDHARI YA MIZUNGOKO YA KUSHOTO (KEEP LEFT) KATIKA BAADHI YA MITAA YA JIJI LA DAR ES SALAAM

 Hapa ni mzunguko uliopo Barabara ya Mkwepu ambapo mizunguko hii imeonekana kutengenezwa na kupambwa ili kuleta mvuto na muonekano mzuri wa jiji la Dar Es Salaam
Mizunguko ya kushoto (Round About) zilizopo mjini katika barabara za mkwepu zikiwa zinapambwa na masanamu ya wanyama hawa wazuri kama vile Twiga, Mamba, Na Binadamu wakipiga Ngoma ili kuweza kuleta mvuto na kulipamba Jiji La Dar Es Salaam yote hii ni katika kuliweka safi na lenye Mvuto Jiji letu la Dar Es Salaam

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages