Hii ni moja ya Gari ambayo nimekutana nayo katika mizunguko yangu mjini na kuikuta ikiwa chafu balaa kutoka na ujumbe huo nyuma ya kioo hapo inaonyesha kuwa gari hili lilikuwa kwenye majaribio na aliyelishuhudia aliona ni jinsi gani ambavyo anaweza kufikisha ujumbe kwa watu kuhusu ubora wa gari hili na kuamua kuandika hapo nyuma kama ambavyo maandishi yanavyosomeka
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)