Mkufunzi katika Mafunzo hayo, Balozi Jeremy Ndayiziga (kushoto) akimkabidhi cheti Mroki Mroki, kutoka Father Kidevu Blog ambaye pia ni Mpigapicha wa Masuala ya Mtangamano wa Jumuia ya Afrika Mashariki, kwa kushiriki kikamilifu mafunzo hayo. Anaeshuhudia Katikati ni Elizabeth Wanyoike wa GIZ ambao walifadhili mafunzo hayo na Jumuia ya Afrika Mashariki.
JUMLA ya waandishi wa Habari 12 kutoka nchi wanachama wa Jumuia ya Afrika Mashariki wametunukiwa vyeti baada ya kushikiri kikamilifu katika mafunzo ya siku tatu yaliyo husu Wajibu wa Vyombo vya Habari katika kufuatilia Utekelezaji wa Makubaliano ya Soko la Pamoja. Mafunzo hayo yalifanyika Jijini Dar es Salaam. Pichani ni Mkufunzi katika Mafunzo hayo, Balozi Jeremy Ndayiziga (kushoto) akimkabidhi cheti David Mugabe kutoka New Vision Uganda kwa kushiriki kikamilifu mafunzo hayo. Anaeshuhudia Katikati ni Elizabeth Wanyoike wa GIZ ambao walifadhili mafunzo hayo na Jumuia ya Afrika Mashariki.
Mkufunzi katika Mafunzo hayo, Balozi Jeremy Ndayiziga (kushoto) akimkabidhi cheti James Tasamaba Mhariri kutoka New Times, kwa kushiriki kikamilifu mafunzo hayo. Anaeshuhudia Katikati ni Elizabeth Wanyoike wa GIZ ambao walifadhili mafunzo hayo na Jumuia ya Afrika Mashariki.
Mkufunzi katika Mafunzo hayo, Balozi Jeremy Ndayiziga (kushoto) akimkabidhi cheti Moses Walugembe kutoka UBC TV Uganda, kwa kushiriki kikamilifu mafunzo hayo. Anaeshuhudia Katikati ni Elizabeth Wanyoike wa GIZ ambao walifadhili mafunzo hayo na Jumuia ya Afrika Mashariki.
Mkufunzi katika Mafunzo hayo, Balozi Jeremy Ndayiziga (kushoto) akimkabidhi cheti Filbert Rweyemamu wa Gazeti la Mwananchi-Arusha, kwa kushiriki kikamilifu mafunzo hayo. Anaeshuhudia Katikati ni Elizabeth Wanyoike wa GIZ ambao walifadhili mafunzo hayo na Jumuia ya Afrika Mashariki.
Mkufunzi katika Mafunzo hayo, Balozi Jeremy Ndayiziga (kushoto) akimkabidhi cheti Zephania Ubwani wa Gazeti la The Citizen-Arusha, kwa kushiriki kikamilifu mafunzo hayo. Anaeshuhudia Katikati ni Elizabeth Wanyoike wa GIZ ambao walifadhili mafunzo hayo na Jumuia ya Afrika Mashariki.
Mkufunzi katika Mafunzo hayo, Balozi Jeremy Ndayiziga (kushoto) akimkabidhi cheti Jean-Marie Bizimana kutoka RTNB Rwanda, kwa kushiriki kikamilifu mafunzo hayo. Anaeshuhudia Katikati ni Elizabeth Wanyoike wa GIZ ambao walifadhili mafunzo hayo na Jumuia ya Afrika Mashariki.
Mkufunzi katika Mafunzo hayo, Balozi Jeremy Ndayiziga (kushoto) akimkabidhi cheti Moussa Havyarimana wa RT National ya Burundi, kwa kushiriki kikamilifu mafunzo hayo. Anaeshuhudia Katikati ni Elizabeth Wanyoike wa GIZ ambao walifadhili mafunzo hayo na Jumuia ya Afrika Mashariki.
Mkufunzi katika Mafunzo hayo, Balozi Jeremy Ndayiziga (kushoto) akimkabidhi cheti Fiona Mbabazi wa Radio 10, kwa kushiriki kikamilifu
mafunzo hayo. Anaeshuhudia Katikati ni Elizabeth Wanyoike wa GIZ ambao walifadhili mafunzo hayo na Jumuia ya Afrika Mashariki.
mafunzo hayo. Anaeshuhudia Katikati ni Elizabeth Wanyoike wa GIZ ambao walifadhili mafunzo hayo na Jumuia ya Afrika Mashariki.
Mkufunzi katika Mafunzo hayo, Balozi Jeremy Ndayiziga (kushoto) akimkabidhi cheti John Kemel wa Citizen TV Kenya, kwa kushiriki kikamilifu
mafunzo hayo. Anaeshuhudia Katikati ni Elizabeth Wanyoike wa GIZ ambao walifadhili mafunzo hayo na Jumuia ya Afrika Mashariki.
mafunzo hayo. Anaeshuhudia Katikati ni Elizabeth Wanyoike wa GIZ ambao walifadhili mafunzo hayo na Jumuia ya Afrika Mashariki.
Katibu wa Baraza la Asasi za Kiraia za Jumuia ya Afrika Mashariki, Dk. Martin Mwadha (kushoto) akimkabidhi cheti Salma Said wa Mwananchi na DW Zanzibar, kwa kushiriki kikamilifu mafunzo hayo. Anaeshuhudia Katikati ni Elizabeth Wanyoike wa GIZ ambao walifadhili mafunzo hayo na Jumuia ya Afrika Mashariki.
Katibu wa Baraza la Asasi za Kiraia za Jumuia ya Afrika Mashariki, Dk. Martin Mwadha akimkabidhi zawahukrani Mkufunzi katika Mafunzo hayo, Balozi Jeremy Ndayiziga Anaeshuhudia Katikati ni Elizabeth Wanyoike wa GIZ ambao walifadhili mafunzo hayo na Jumuia ya Afrika Mashariki.
Picha ya pamoja ya washiriki na waratibu.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)