Mwenyekiti wa Kikundi cha akina dada cha Precious Group 2012 Agnes Shayo hiza akimkabidhi zawadi ya saa ya ukutani Magreth Chacha ambaye ni Mkurugenzi wa benki ya wanawake (TWB)aliyekuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa kikundi hicho na chakula cha jioni iliyofanyika usiku huu kwenye ukumbi wa Isumba Lounge zamani Jolly Club jijini Dar es salaam, ambapo wageni mbalimbani na wanakikundi wa Precious walijumuika pamoja katika uzinduzi huo.
Mwenyekiti wa Kikundi cha akina dada cha Precious Group 2012 Agnes Shayo hizaakizungumza na kukaribisha wageni katika hafla hiyo.
Christina Nyerere mshauri wa kikundi cha Precious Group akisoma risala mbele ya mgeni rasmi katika hafla hiyo.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)