Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya katika utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wiazara hiyo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo,(wa pili kulia) Katibu Mkuu Kiongozi,Dk.Abdulhamid Yahya Mzee.
Watendaji wa Wizara ya Afya katika idara mbali mbali za Wizara hiyo wakiwa katika Mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, katika utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wiazara hiyo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya katika utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wiazara hiyo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo,(wa pili kulia) Katibu Mkuu Kiongozi,Dk.Abdulhamid Yahya Mzee.Picha na RamadhanOthman,IKULU.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)