Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe
akijadiliana jambo na Mbunge wa Kigoma Kaskazini(CHADEMA), Zitto Kabwe walipotoka
kuhudhuria kikao cha bunge, mjini Dodoma jana.
Mbunge wa Kigoma Kaskazini(CHADEMA), Zitto Kabwe (kushoto) akimwonyesha Waziri
wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk David Mathayo baadhi ya ushaidi
aliokuwa nao wa hoja yake binafsi inayoitaka serikali kuchukua hatua
dhidi ya watanzania walioficha fedha haramu nje ya nchi, mjini Dodoma.
Picha na Edwin Mjwahuzi
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)