Pages

WASTAAFU WA BUNGE WAFANYIWA SHEREHE YA KUAGWA


Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akizungumza na wafanyakazi paomja na wastaafu wakati wa kuwaaga wastaafu hao katika hafla iliyofanyika kwenye viwanja vya Bunge jana. Jumla ya wastaafu 12 waliagwa baada ya kulitumikia Bunge kwa muda mrefu.

Wastaafu wakisimama kwa heshima kubwa kumpokea Mhe. Spika.
Spika Makinda akimkabidhi mstaafu Makame cheti maalumu cha kutambua utumishi wake.
Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashililah akiwapongeza wastaafu hao. Kushoto kwa Katibu wa Bunge ni Katibu wa TUGHE Mkoa wa Dodoma Bw. John Mchenya.
Uongozi wa Bunge ukiwa na wastaafu hao.
Ni wakati wa kulisakata rhumba

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)