Pages

JK AFUNGUA KIKAO CHA KAMATI KUU NA NEC JANA


 Nape Nnauye ,Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM akipiga gitaa kwa ustadi kabla ya ufunguzi wa kikao cha Kamati Kuu na NEC,jana Dodoma katika Makao Makuu ya Chama hicho.
 Mwenyekiti wa CCM Rais .Jakaya Mrisho Kikwete akivishwa skafu na Chipukizi wa CCM alipowasili Makao Makuu ya CCM Dodoma jana tayari kwa kikao cha kamati kuu katika ukumbi wa White Houes mjini Dodoma.

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa meza kuu na viongozi wengine kabla ya akifungua rasmi kikao cha kamati kuu jioni ya jana mjini Dodoma. Picha na Adam Mzee

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)