Waziri
Mkuu, Mizen go Pinda akizungumza na Mbunge wa Kahama, James Lembeli
(katikati) na Mbunge wa Viti Maalum,Maria Hewa kwenye viwanja vya Bunge
Mjini Dodoma Novemba 7, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi ambaye pia ni Mbunge wa
Ismani akiteta na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lisu kwenye
viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Novemba 7, 2012.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)