Meneja
wa intaneti tigo Bw.Titus Kafuma akiongea na waandishi wa habari wakati
wa uzinduzi wa promosheni inayomuezesha mteja kununua Smartphone yenye
kiwango na hadhi ya hali ya juu aina ya Ascend Y200 kwa bunguzo la hali
ya juu ambapo amesema wateja watakao nunua simu hizo watapata furusa ya
kujishindia bidhaa za promosheni kutoka tigo na zawadi kubwa katika
promosheni hiyo wateja kumi watajishindia safari ya kwenda nchini china
katika droo itakayochezeshwa mara tano huku kila droo itatoa washindi
wawili.katika safari hiyo.
Afisa
mahusiano msaidizi kampuni ya simu ya tigo Bi.Mariamu Mlangwa
akifafanua jambo wakati wa uzinduzi wa promosheni hiyo.ulifanyika kwenye
ukumbi wa JB Belmont Hoteli jijini Dar es salaam.
Meneja
masoko na usambazaji wa kampuni ya Huawei Technology Bw.Ramadhan
Nkanyemka(kushoto),Meneja mahusiano wa Huawei na Tigo Bw.Ma lii
(katikati) a Mkurugenzi mtendaji wa Huwawei Bw.Bruce Zhang
(kulia)wakijadili jambo mara baada ya kumalizika kwa uzinduzi wa
promosheni hiyo.PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)