WARSHA YA KUJADILI RASIMU YA MPANGO MKAKATI WA KUZUIA MAAMBUKIZI YA UKIMWI KWA WAFANYAKAZI WA SERIKALI YAFANYIKA ZANZIBAR - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WARSHA YA KUJADILI RASIMU YA MPANGO MKAKATI WA KUZUIA MAAMBUKIZI YA UKIMWI KWA WAFANYAKAZI WA SERIKALI YAFANYIKA ZANZIBAR

Mshauri Mwelekezi wa masuala ya UKIMWI Julie Timbo kutoka CADEM-Tanzania akitoa mada katika Warsha ya siku mbili ya kuijadili Rasimu ya mpango mkakati na wakupambana na maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi kwa wafanya kazi waserikali na taasisi za umma,kushoto yake ni Mkurugenzi Mipango na uendeshaji Wizara ya Kazi uwezeshaji wananchi kiuchumi na ushirika Radhia Rashid Haroub
Mshauri Mwelekezi wa masuala ya UKIMWI Julie Timbo kutoka CADEM-Tanzania akitoa mada katika Warsha ya siku mbili ya kuijadili Rasimu ya mpango mkakati na wakupambana na maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi kwa wafanya kazi waserikali na taasisi za umma iliyofanyika Ecro-tanal mjini Zanzibar.
Baadhi ya washiriki wa Warsha ya siku mbili ya kuijadili Rasimu ya mpango mkakati na wakupambana na maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi kwa wafanya kazi wa Serikali na taasisi za umma wakiwa wanaendelea na mafunzo waliyoyapata katika warsha hiyo..picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages