Mshauri
Mwelekezi wa masuala ya UKIMWI Julie Timbo kutoka CADEM-Tanzania akitoa
mada katika Warsha ya siku mbili ya kuijadili Rasimu ya mpango mkakati
na wakupambana na maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi kwa wafanya kazi
waserikali na taasisi za umma,kushoto yake ni Mkurugenzi Mipango na
uendeshaji Wizara ya Kazi uwezeshaji wananchi kiuchumi na ushirika
Radhia Rashid Haroub
Mshauri
Mwelekezi wa masuala ya UKIMWI Julie Timbo kutoka CADEM-Tanzania akitoa
mada katika Warsha ya siku mbili ya kuijadili Rasimu ya mpango mkakati
na wakupambana na maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi kwa wafanya kazi
waserikali na taasisi za umma iliyofanyika Ecro-tanal mjini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)