waheshimiwa wabunge kutoa maoni yao ya katiba mpya leo dodoma - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

waheshimiwa wabunge kutoa maoni yao ya katiba mpya leo dodoma


Leo Jumamosi, Novemba 3, 2012, kuanzia saa 3:00 asubuhi, Tume ya Mabadiliko ya Katiba Tanzania itafanya mkutano katika Ukumbi wa Pius Msekwa, Dodoma ili kukusanya maoni ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu Katiba Mpya. Mkutano utaongozwa na Mwenyekiti wa Tume, Jaji Jospeh Warioba.  Toa Maoni, Tupate Katiba Mpya.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages