Mmoja wa Wanafunzi wa UDOM Amani Kizuguto (wa kwanza Kulia) akiwa katika Picha ya Pamoja na Baadhi ya wanafunzi wenzake wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) wakati walipokwenda kufanya ziara katika Bunge la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania kujifunza shughuli mbalimbali zinazofanya na Bunge hilo haswa wakati wa vikao vya Bunge vinavyoendelea Mjini Dodoma.
Wanafunzi wa UDOM wakiwa katika Picha ya Pamoja na Baadhi ya Waheshimiwa Wa Wabunge wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania ambapo wanafunzi wa UDOM walifanya ziara hapo jana kwaajili ya Kujifunza Shughuli mbalimbali zinazofanya na Bunge haswa wakati wa Vikao Vya Bunge Vinavyoendelea Mjini Dodoma Kushoto ni Mbunge wa Kuteuliwa Bwana James Mbatia na (Wa Tatu Kulia) Ni Mbunge wa Jimbo la Ubungo Mh John John Mnyika
Mbunge wa Jimbo la Isamilo na Waziri anayeshughulikia maswala ya Bunge na Sera Mh William Lukuvi (Mwenye Miwani) akiwa katika Picha ya Pamoja na Baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) wakati walipokwenda kutembelea Bunge kwaajili ya Kujifunza shughuli mbalimbali zinazofanya na Bunge hapo jana
Waziri wa Mambo ya Nje na UShirikiano Wa Kimataifa Mh Bernard Membe akisalimia na Mmoja wa wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) wakati walipokwenda kutembelea Bunge Kujionea Jinsi bunge linavyofanya kazi hususani wakati wa Vikao Vya Bunge vinavyoendelea Mjini Dodoma hapo Jana
Waziri wa Mambo ya Nje Na UShirikiano wa Kimataifa Mh Bernard Membe akibadilisha Namba za Simu na baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) wakati walipokwenda kutembelea Bunge hapo jana kwaajili ya kujionea shughuli za Bunge
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mh Lazaro Nyarandu akiwa katika Picha ya Pamoja na Mmoja wa Wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dodoma(UDOM) wakati walipokwenda Kutembelea Bunge hapo jana
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) wakiwa katika PIcha ya Pamoja Mara baada ya kutembelea Bunge la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Hapo jana kwaajili ya Kujifunza Shughuli mbalimbali za Bunge
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)