TASWIRA ZA KITIVO CHA SAYANSI YA JAMII, SANAA NA LUGHA CHA CHUO KIKUU CHA DODOMA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TASWIRA ZA KITIVO CHA SAYANSI YA JAMII, SANAA NA LUGHA CHA CHUO KIKUU CHA DODOMA LEO

Hivi ni vyumba vya mihadhara vilivyopo katika kitivo cha sayansi ya jamii sanaa na lugha cha Chuo Kikuu cha Dodoma
 Ofisi za Kitivo Cha Sayansi ya Jamii, Sanaa na lugha Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma
 Vyumba vya Madarasa na Semina Kama Vinavyoonekana katika Picha
Ofisi za Kitivo Cha Sayansi ya Jamii, Sanaa na Lugha Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma 
Block 3 na 4 za Kitivo cha Sanaa na Lugha cha Chuo Kikuu Cha Dodoma kama yanavyoonekana katika picha
Hizi ni Nyumba ambazo ndio kituo cha utafiti cha Dk Asha Migiro zilizopo UDOM 
Hiki ni Kisima Kimoja wapo Kinachohudumia jamii ya wanafunzi wa \kitivo Cha Sayansi ya Jamii Sanaa na lugha
Wanafunzi wakiwa wameanika Nguo zao Juu ya Miti midogo midogo mbele ya mabweni yao

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages