Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili nyumbani kwa marehemu Jackson Makweta
ili kutoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu ambaye
kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara
mbalimbali
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi kwenye kitabu cha maomboleza
alipofika kutoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu
Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge
na waziri katika wizara mbalimbali
Mke
wa Rais Mama Salma akiwafariji wana familia wa marehemu Jackson
Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na
waziri katika wizara mbalimbali
Makamu
wa Rais Dkt Ghalib Mohamed Bilali akitoa heshima zake za mwisho na
kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake
juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali
Spika
wa Bunge Mhe Anne Makinda akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili
wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi
alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali
Waziri
Mkuu Mstaafu Mhe Cleopa David Msuya akitoa heshima zake za mwisho na
kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake
juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali
Waziri
William Lukuvi akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa
marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata
kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali
Makamu
Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe Philip Mangula akitoa heshima zake za
mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya
kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara
mbalimbali
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa marehemu baada ya akitoa
heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta
ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika
wizara mbalimbali
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)