Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Titus Kaguo akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam, kuhusu jitihada zilizofanywa na Serikali kukabiliana na uhaba wa mafuta nchini, ambapo imeamua kupunguza kiwango cha mafuta yanayosafirishwa kwenda nchi jirani na kuongeza kwenye soko la ndani. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)