RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AMUAPISHA VUAI MWINYI KUWA MKUU WA WILAYA YA KATI UNGUJA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AMUAPISHA VUAI MWINYI KUWA MKUU WA WILAYA YA KATI UNGUJA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akimuapisha Bw.Vuai Mwinyi Mohamed,kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja,Ikulu Mjini Zanzibar
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akiagana na Bw.Vuai Mwinyi Mohamed,baada ya kumuapisha leo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja,katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar,Pandu Ameir Kificho,(kushoto) Mshauri wa Rais Kilimo,Buruhani Saadat Haji,(kati) na Naibu Katibu Mkuu Ushirikiano wa Kimataifa na Uratibu wa Wazanzibar wanaoishi Nje ya Nchi,Saidi Natepe,wakiwa katika hafla ya kuapishwa Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar. Picha na Ramadhan Othman Ikulu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages