Rais Kikwete aongoza Harambbe ya Chuo kikuu cha St.John Dodoma - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Rais Kikwete aongoza Harambbe ya Chuo kikuu cha St.John Dodoma


Mkurugenzi mkuu wa PPF Bwana William Eriyo akipeana mkono na Rais Jakaya Kikwete baada ya kukabidhi hundi ya shilingi milioni kumi kama mchango wa shirika lake kwa ajili ujenzi ya Hosteli ya wanafunzi wenye ulemavu wa viungo na wasichana katika Chuo Kikuu cha St.John kilichopo mjini Dodoma, wakati wa harambee iliyofanyika katika ukumbi wa Diamond jubilee jijini Dar ea Salaam leo.Katika Harambe hiyo jumla ya shilingi milioni 584/m zilikusanya ikiwa ni ahadi na fedha taslimu.Wapili kushoto ni Askofu mkuu wa Kanisa la Anglikana Dr.Valentino Mokiwa na kulia ni Mkuu wa chuo hicho askofu mkuu mstaafu Dr.Donald Mtetemela.Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages