Ni juzi tu kule mjini Dodoma katika shamra shamra za mahafali ya Chuo Kikuu cha Dodoma aka UDOM, ambapo katika baadhi ya wadau waliokula Nondozzz ni kijana Dani Hudu. Wazazi ndugu na marafiki wa wasomi pia walishiriki katika shangwe hizo za kula Nondozzzz. Moja ya wazazi hao alikuwapo bondia mkongwe nchini Bw.Iraki Hudu ambaye ndiye baba mzazi wa dogo Daniel Huddu ambaye kala Nondozzz ya Geography and environmental studies chuoni hapo. Hongereni sana wasomi wa Udom na wazazi wote
-






No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)