Mudhihili Mudhihili aongelea bei Za Korosho Mbele ya Waandishi wa Habari - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Mudhihili Mudhihili aongelea bei Za Korosho Mbele ya Waandishi wa Habari

  Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya korosho Tanzania Mudhihili Mudhihili (kulia) akiwaandikia waandishi wa habari  jina lake wakati wa mkutano baina yao uliofanyika leo makao makuu ya bodi hiyo jijini Dar es Salaam. Katika mkutano huo mambo mbalimbali yaliongelewa ikiwa ni pamoja na bei ya mkulima ya kununulia korosho msimu wa 2012/2013 kuwa shilingi 1200 kwa daraja la kwanza na  960 kwa daraja la  pili.  
 Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya korosho Tanzania Mudhihili Mudhihili (kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo makao makuu ya bodi hiyo jijini Dar es Salaam kuhusu  bei ya mkulima ya kununulia korosho msimu wa 2012/2013 kuwa shilingi 1200 kwa daraja la kwanza na  960 kwa daraja la pili. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Masoko wa bodi ya Korosho Tanzania Theofora Nyoni. 
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhulia mkutano baina yao na bodi ya korosho uliofanyika leo katika ofisi za bodi hiyo jijini Dar es Salaam wakijitahidi kupata matukio muhimu ya mkutano huo. Katika mkutano huo Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya korosho Tanzania Mudhihili Mudhihili (hayupo pichani) alisema kuwa  bei ya mkulima ya kununulia korosho msimu wa mwaka 2012/2013 ni shilingi 1200 kwa daraja la kwanza na  960 kwa daraja la pili.Picha na Anna Nkinda – Maelezo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages