MKUTANO WA 21 WA BARAZA KUU LA WAFANYAKAZI POSTA WANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MKUTANO WA 21 WA BARAZA KUU LA WAFANYAKAZI POSTA WANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Mhe.January Makamba akitoa hotuba wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 21 wa baraza kuu la wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania la kujadili mipango ya maendeleo ya bajeti ya shirika hilo pamoja na kutoa maamuzi juu ya uwekezaji mitaji katika vitega uchumi na miradi mbalimbali na kupitia sera zinazohusu utoaji wa huduma na utendaji uliofanyika mwanzoni mwa wiki hii jijini Dar es salaam.
Baadhi ya wajumbe kutoka Shirika la Posta Tanzania wakiwa kwenye mkutano huo ulifanyika ukumbi wa mikutano wa British Council jijini Dar es Salaam
Naibu waziri wa Wizara ya  Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Mhe.January Makamba akiwa kwenye picha ya pamoja wajumbe kutoka Shirika la Posta Tanzania.PICHA NA PHILEMON SOLOMON

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages