Balozi Mbelwa akiagana na Balozi Shaw mara baada ya kumaliza mazungumzo yao.
Balozi
Mbelwa Kairuki,Mkurugenzi wa
Idara ya Asia na Australasia katika Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa akiwa katika mazungumzo kuhusu ushirikiano kati
ya Tanzania na India na Mhe. Debnath Shaw, Balozi wa India hapa
nchini.Picha na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)