Mfanyakazi wa Airtel abambwa akiiba Quality Plaza - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mfanyakazi wa Airtel abambwa akiiba Quality Plaza

Mrembo pichani (jina kapuni) aliyefahamika na wengi kama mfanyakazi wa Airtel Quality Center  hivi karibuni alikamatwa  akiwa na rundo la vitu kibao alivyoviiba  ndani ya  Supermarket ya Quality Centre iliyopo barabara ya Nyerere mjini Dar es salaam.
 
Source: Chinga One Blog

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages