MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AMJULIA HALI SHEIKH MKUU WA BAGAMOYO, ABDALLH MASOUD JEMBE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AMJULIA HALI SHEIKH MKUU WA BAGAMOYO, ABDALLH MASOUD JEMBE

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimjulia hali Sheikh Mkuu wa Bagamoyo, Sheikh Abdallah Masoud Jembe, anayesumbuliwa na maradhi, wakati Makamu wa Rais alipofika nyumbani kwa Sheikh huyo, eneo la Ramiah mjini Bagamoyo, leo kwa ajili ya kumjulia hali. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Sheikh wa Bagamoyo, Sheikh Abdallah Masoud Jembe, wakati alipofika nyumbani kwa sheikh huyo eneo la Ramiah mjini Bagamoyo, leo kwa ajili ya kumjulia hali kutokana na maradhi yanayomsumbua sheikh huyo. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Ahmed Kipozi.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages