Dkt. Bilal akutana na Balozi wa CUBA leo - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Dkt. Bilal akutana na Balozi wa CUBA leo


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na Balozi wa CUBA Nchini Jorge Lois Lopez Tormo, wakati Balozi Tormo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo kwa ajili ya kumsalimia. kwenye mazungumzo yao viongozi hao walisisitiza umuhimu wa kuimarisha uhusiano na ushirikiano wa muda mrefu kati ya Nchi mbili hizi. Aidha Balozi Tormo aliipongeza Serikali kwa kuzindua mradi wa ujenzi wa Bomba la Gesi kutoka mtwara hadi Dar es salaam na kusema kuwa hatua hiyo inaiwezesha Tanzania kuwa ni Nchi yenye nguvu kiuchumi katika Bara la Afrika miaka michache ijayo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akizungumza na Balozi wa CUBA Nchini Jorge Luis Lopez Tormo wakati Balozi huyo alipofika Ikulu Dar es salaam leo kwa ajili ya kumsalimia. katika mazungumzo yao viongozi hao walisisitiza umuhimu wa kuimarisha uhusiano na ushirikiano wa muda mrefu kati ya Nchi mbili hizi. Aidha Balozi Tormo aliipongeza Serikali kwa kuzindua mradi wa ujenzi wa Bomba la Gesi kutoka mtwara hadi Dar es salaam na kusema kuwa hatua hiyo inaiwezesha Tanzania kuwa ni Nchi yenye nguvu kubwa kiuchumi katika Bara la Afrika miaka michache ijayo.Picha na OMR.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages