Mkurugezi Mkuu wa bodi ya bahati nasibu Tanzania,Abasi Tarimba akisimamia uteketezaji wa mashine za kuchezesha bahati nasibu ambazo zimeingizwa nchini bila kufuata utaratibu ambazo zimeletwa na kufungwa maeneo ya ostabay zikitokea nchini urusi ambapo nchi ya urusi imepiga marufuku mchezo wa bahati nasibu.mashine hizo zilikuwa 80 zenye thamani ya shilingi milioni 300 za kitanzania.
Mashine hizo zikiteketezwa kwa kukanyagwa na Katapila.Picha na Chris Mfinanga
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)