Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akimkabidhi
zawadi na cheti kwa Ofisa mtendaji mkuu wa NMB bank Mark Wiessing baada ya Bank
hiyo kuwa mchangiaji Bora katika kulipa kodi kwa mwaka 2012. Hafla hiyo
ilifanyika jana katika ukumbi wa mlimani City Dar es salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal, akizindua
Vitabu katika maadhimisho ya siku ya mlipa kodi kitaifa yaliyofanyika jana katika
ukumbi wa mlimani City Dar es salaam.
Makamu
wa Rais Dkt Mohammed Gharib Bilal akihutubia kwenye mkutano wa sita katika
maadhimisho ya siku ya mlipa kodi kitaifa yaliyoadhimishwa jana katika ukumbi wa
Mlimani City Dar es salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzainia Dkt. Mohammed Gharib Bilal katikati
akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano wa sita wa maadhimisho ya
siku ya mlipa kodi kitaifa yaliyoadhimishwa jana katika ukumbi wa mlimani City
Dar es salaam
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)