Pages

Benki ya NMB na Kampuni ya Mantra Tanzania Wadhamini Wakuu Maonesho ya Shule Tanzania.

 Maofisa wa Benki ya NMB,Kutoka kushoto ni Monica Job,Simon Kameta na Germa Massae wakiwapa maelezo wananchi waliotembelea katika Banda lao kwenye Maonyesho ya Shule Tanzania.

 Wakazi wa Dar es salaam wakipata maelekezo kutoka kwa Maofisa wa Kampuni ya Mantra Tanzania Ltd,Kutoka kushoto ni Thobias Otaru na Nicholaus Masabo (wa pili kushoto),wakati wa Maonesho ya Shule yanayofanyika Jijini Dar es Salaam. 

Banda la Mantra Tanzania Ltd kwenye Maonesho ya Shule Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)