Katika Channel Ten TV leo saa moja na nusu usiku kutakuwa na mahojiano aliyofanyiwa Mwanalibeneke Maggid Mjengwa na Hoyce Temu (pichani). Itahusu zaidi masuala ya Uhuru wa Vyombo Vya Habari na nafasi ya Mitandao ya Kijamii kwenye kukuza demokrasia na changamoto zake. Anakuomba Usikose
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)