Aboubakar Liongo wa DW Afanya Mahojiano na Rais na Mwenyekiti Wa Baraza la Mapunduzi Mstaafu,Aman Abeid Karume - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Aboubakar Liongo wa DW Afanya Mahojiano na Rais na Mwenyekiti Wa Baraza la Mapunduzi Mstaafu,Aman Abeid Karume

 Mdau wa Aboubakar Liongo wa DW akifanya mahojiano na Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapunduzi Mstaafu, Aman Abeid Karume nje ya ukumbi wa Kizota mjini Dodoma ambako mkutano wa nane wa Chama cha Mapinduzi CCM , unaendelea na jioni hii wajumbe wanataraji kupata matokeo ya uchaguzi wa ngazi ya Mwenyekiti na Makamu wenyeviti wawili. Karume alikuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar nafasi ambayo inakwenda kwa Rais wa sasa Dk. Ali Mohamed Shein.
Mdau wa Aboubakar Liongo wa DW akifanya mahojiano na Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapunduzi Mstaafu, Aman Abeid Karume nje ya ukumbi wa Kizota mjini Dodoma ambako mkutano wa nane wa Chama cha Mapinduzi CCM , unaendelea na jioni hii wajumbe wanataraji kupata matokeo ya uchaguzi wa ngazi ya Mwenyekiti na Makamu wenyeviti wawili. Kushoto ni Mkewe Shadya Karum

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages