Mdau wa Aboubakar Liongo wa DW
akifanya mahojiano na Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapunduzi Mstaafu, Aman
Abeid Karume nje ya ukumbi wa Kizota mjini Dodoma ambako mkutano wa nane wa
Chama cha Mapinduzi CCM , unaendelea na jioni hii wajumbe wanataraji kupata
matokeo ya uchaguzi wa ngazi ya Mwenyekiti na Makamu wenyeviti wawili. Karume
alikuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar nafasi ambayo inakwenda kwa Rais wa
sasa Dk. Ali Mohamed Shein.
Mdau wa Aboubakar Liongo wa DW
akifanya mahojiano na Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapunduzi Mstaafu, Aman
Abeid Karume nje ya ukumbi wa Kizota mjini Dodoma ambako mkutano wa nane wa
Chama cha Mapinduzi CCM , unaendelea na jioni hii wajumbe wanataraji kupata
matokeo ya uchaguzi wa ngazi ya Mwenyekiti na Makamu wenyeviti wawili. Kushoto ni Mkewe Shadya Karum
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)