ZOEZI LA KUKAMATA MAGARI YA SERIKALI YANAYOTUMIA NAMBA BINAFSI KUFANYIKA NCHI NZIMA KARIBUNI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

ZOEZI LA KUKAMATA MAGARI YA SERIKALI YANAYOTUMIA NAMBA BINAFSI KUFANYIKA NCHI NZIMA KARIBUNI

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli (waliokaa mbele wapili kushoto) akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kusisitiza  utaratibu wa usajili wa magari 
 ya Umma unafuatwa na kutafanyika zoezi rasmi la kurejesha usajili wa magari yote.Serikali imetoa muda hadi kufikia Novemba 15,2012 magari ya Umma yaliyo na namba  za kiraia, yarejeshwe namba stahiki za magari ya Umma .  Baada ya hapo Operesheni hiyo iitakamata magari, pikipiki, bajaj na mitambo ya umma,Vilevle kutakuwa na aina ya namba za usajili zitakazotumika kama ST, PT, MT,JW, DFP, CW, SM na ,SU.Hadi sasa serikali imesajili vyombo vya moto,123,431 yakiwemo magari,,pikipiki,bajaj na mitambo ya umma (pichani anaefuatia mwenye sare za polisi) ni Mkuu wa kikosi cha Usalama barabarani katika jeshi la Polisi  nchini Kamanda Mohamed  Mpinga
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli (kulia) akisisitiza jambo  leo jijini Dar es Salaam wakati akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu utaratibu wa  kufuta matumizi ya  namba za kiraia kwenye magari ya Serikali, taasisi na mashirika ya Umma nchini, Pichani (kushoto) ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Balizi Herbert Mrango. Serikali pia  imeotoa muda hadi tarehe 15, Nov, 2012 ili magari ya umma yaliyo na namba za kiraia yarejeshwe kwenye namba  stahiki za magari ya Umma kabla ya oparesheni ya kamatakamata kuanz, Kulia ni Mohamed Mpinga Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani 
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli (kulia) akiteta jambo  leo jijini Dar es Salaam Mohamed Mpinga Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani  wakati akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu utaratibu wa  kufuta matumizi ya  namba za kiraia kwenye magari ya Serikali, taasisi na mashirika ya Umma nchini, Pichani (kushoto) ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Balizi Herbert Mrango. Serikali pia  imeotoa muda hadi tarehe 15, Nov, 2012 ili magari ya umma yaliyo na namba za kiraia yarejeshwe kwenye namba  stahiki za magari ya Umma kabla ya oparesheni ya kamatakamata kuanza.  Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages