Waziri Wa Fedha Aendelea Na Ziara - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Waziri Wa Fedha Aendelea Na Ziara

 Waziri wa fedha Mhe. William Mgimwa akiwa na maongezi ya uwekezaji na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Standard. (Standard Bank) hapa jijini Tokyo- Japan.
 Waziri wa Fedha Mhe. William Mgimwa  akiwa na  Makamu wa Waziri Mkuu na Waziri wa Fedhana maendeleo ya uchumi, Mhe. Xavier – Luc Duval walipokuwa wakibadilishana mawazo kuhusu maendeleo ya nchi zao hizo mbili hapa Jijini – Japan – Tokyo.
 Waziri wa Fedha Mhe. William Mgimwa akiwa na wajumbe  kutoka  nchi Mauritius kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Maendeleo ya uchumi, Bw. Ali Mansoor akifuatiwa na Makamu wa  Waziri Mkuu na Waziri wa Fedha na Maendeleo ya uchumi , Mhe. Xavier – Luc Duval walipokuwa wakielezana juu ya  maendeleo kati ya nchi hizi mbili  Jijini – Japan - Tokyo
  Waziri wa Fedha Mhe. William Mgimwa akimpokea  Waziri wa fedha wa Kenya Bw. Robinson Githae tayari kwa kikao chao kinachohusu mambo ya Jumuiya ya Afrika Mashariki  wa Jumuiya ya Afrika Mashariki  kulia ni waziri wa Fedha wa Rwanda.Picha na Ingiahedi Mduma na Scola Malinga Jijini Tokyo - Japan 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages